Viongezeo, nyongeza na programu ndogo ni sehemu ambazo zinaweza kuongezwa kwenyeweb browser ili kuwapa vipengele vipya. Tor Browser inakuja na kifurushi kimoja kilichosakinishwa: NoScript. Hutakiwi kusakinisha add-ons yoyote ya ziada kwenye Tor Browser kwa sababu inaweza kudhoofisha baadhi ya vipengele vyake vya faragha.

funguo ya umma yenye mfumo wa picha inatumia funguo pacha ya hisabati. public key linaweza kusambazwa kwa kiasi kikubwa wakati neno la siri linalofanana linajulikana tu na mmiliki wa funguo. mtu yeyote anaweza husimba ujumbe kwa kutumia funguo ya mpokeaji lakini mpokeaji pekee ndio aliye na funguo ya siri ndiye anayeweza kuficha ujumbe. Kwa kuongeza, ufunguo wa kibinafsi unaweza kutumika kuunda saini kuonyesha utambulisho wa mtengenezaji wa ujumbe au faili nyingine. hii saini inaweza kuhakikiwa na alama za kipekee za utambuzi ziizo wazi.

Programu ya kuzuia virusi kwenye kompyuta hutumiwa kuzuia, kugundua na kuondoa programu mbaya za kompyuta. Programu ya kuzuia virusi kwenye kompyuta inaweza kuingilia na Tor uendeshaji kwenye kompyuta yako. Unaweza kuhitaji kuangalia nyaraka za programu yako ya antivirus ikiwa hujui jinsi ya kuruhusu Tor.

Anwani ya utaratibu wa mtandao (Anwani ya IP) ni tarakimu (au mchanganyiko wa namba na herufi katika masuala ya IPv6) iliyotolewa lebo kwa kila kifaa (mf, kompyuta, printa) inayoshiriki katika mtandao wa kompyuta kwa kutumia Utaratibu wa Mtandao kwa mawasiliano. Anwani ya IP ni anwani ya eneo la kifaa, sawa na anwani ya eneo halisi. Tor Browser huficha eneo lako kwa kuifanya ionekane kama traffic yako imekuja kutoka kwa anwani ya IP ambayo sio yako.

Muundo wa anwani maalum wa onion addresses ni uthibitishaji binafsi. Mpangilio huhakikisha kuwa anwani ya onion imefungwa kwenye funguo inayotumika kulinda mawasiliano katika onion site. Majina ya kawaida ya kikoa cha mtandao yanahitaji wamiliki wa tovuti kuamini na kuidhinishwa na Mamlaka ya cheti (CA) kwa mshikamano huu, na yakiwa yanataka kutekwa na CA na kwa kawaida kwa sehemu nyingine nyingi.

Tovuti ya mtandao (web app), ni programu ambayo mteja anaitumia katika kivinjari cha wavuti. clentanaendesha kwenye web browser. Programu tumizi pia hurejea programu ambayo umeisanikisha katika simu operating systems.

Atlas ni programu ya tovuti inayotumika kujifunza kuhusu njia za Tor zinazoendeshwa kwa sasa relays.

Captchas ni jaribio la kukabiliana na changamoto linalotumika katika kuendesha kompyuta ili kutambua kama mtumiaji ni binadamu au la. Watumiaji wa Tor mara nyingi huhifadhi Captchas kwa sababu Tor relays hufanya maombi mengi ambayo muda mwingine tovuti huwa na wakati mgumu wa kutambua kama maombi hayo yamekuja kutoka kwa binadamu au roboti.

Spelling notes:

Andika herufi kubwa ya kwanza pekee, kama Captchas sasa inachukuliwa kuwa ni nomino

Checksum ni thamani ya mafaili hash. Ikiwa umepakua programu bila makosa, checksum uliyopewa na checksum ya faili ulilopakua yatakuwa sawa.

Compass ni programu ya tovuti ya kujifunza juu ya endeshaji wa muda huu wa Tor relayskwa wingi.

Kipengele katika Tor Browser ambacho utakihitaji kitakupa atomatiki kuomba usanidi wa brigde ambalo hufanya kazi vizuri katika eneo la watumiaji.

Translation notes:

See how it appears on your language's Tor Browser. Keep in English if there is no version of Tor Browser in your language at https://support.torproject.org/tbb/tbb-37/

Kipimo cha upatikana wa mawasiliano katika Tor Browser hupima na kumtaarifu mtumiaji kuhusu hali ya muunganisho wa mawasiliano na muunganisho kwenye mtandao wa Tor.

Masharti ya Tor, nyaraka moja iliyotungwa na kupigiwa kura na directory authorities mara moja ndani ya lisaa, huhakikisha clients wote hupata taarifa sawa kuhusu relays ambayo hutengeneza Tor network.

Cross-Site Scripting (XSS) huruhusu mshambuliaji kongeza programu zenye hatari au tabia kwa tovuti wakati haifai kuwa na uwezo wa kufanya hivyo.

Daemon ni programu ya kompyuta ambayo huendesha mchakato wa nyuma ya kioo, badala ya kuwa chini ya udhibiti wa mtumiaji.

Dangerzone hubadili nyaraka yeyote (hata pdf) kuwa pdf, ikiwa nyaraka inaweza kuwa na hatari au kutoka chanzo kisichoaminika. Hili hukamilikwa kwa kubadilisha pdf kuwa raw pixel data na kulirudisha tena kuwa pdf.

Huduma za ExoneraTor hudumisha hifadhidata relay IP addresses ambayo imekuwa sehemu ya mtandao wa Tor. Inajibu swali kama Tor ya kutumia relay katika anwani fulani ya IP kwa tarehe fulani. Huduma hii hutumika mara nyingi wakati kushughulika utekelezaji wa sheria.

F-Droid ni saraka ya FOSS (free and open source software) programu tumizi ya Android. Kama vile Google Play mtu anaweza kuvinjari, kusanikisha na kufuatilia masasisho kwenye kifaa kwa kutumia F-Droid. Tor Browser inapatikana katika F-Droid. Fuata [hatua] hizi (https://tb-manual.torproject.org/mobile-tor/) kama ukipenda kusasisha program tumizi kuitia F-Droid.

Mozilla Firefor ni chanzo cha bure na open source web browser iliyotengenezwa na Mozilla Foundation na kampuni yake tanzu ya shirika la Mozilla. Tor Browser imetengenezwa kutoka katika toleo lililoboreshwa la Firefox ESR (Extended Support Release). Firefox inapatikana katika Windows, macOS na Linux operating systems, ikiwa na toleo la simu linalopatikana katika Android na iOS.

Flash Player ni browser pluginn kwenye mtandao applicationskwa kusikiliza maudhui ya sauti na video. Hupaswi kamwe kuwezesha Flash ili itumike katika Tor browser kama si salama. Huduma nyingi zinazotumia Flash pia hutoa mbadala wa HTML, ambazo zinapaswa kufanya kazi katika [Tor Browser].

FTE (format-transforming encryption) ni pluggable transport inayojificha Tor traffic kama usafirishwaji wa data ya kawaida ya wavuti (HTTP).

sehemu binafsi public/private key pair. Hii ndio ufunguo ambao lazima uwe wa siri, na usisambazwe kwa wengine.

sehemu ya wazi ya public/private key pair. Funguo hii inaweza kusambazwa kwa wengine.

kwnye alama za wazi za picha, alama ya wazi ya alama ya vidole ni mfuatano ambao unaweza kutumika kuthibitisha na kukubaliana na ukubwa wa public key.

GetTor ni huduma ambayo hujibu ujumbe kiotomatiki (Barua pepe, Telegram) inayounganisha toleo jipya la Tor Browser, inayohifadhiwa katika eneo maalumu, kama vile dropbox, Google Drive na GitHub.

Spelling notes:

T ya pili ina herufi kubwa pale inapowezekana: GetTor.

Translation notes:

Usitafsiri.

Tor project hushiriki katika Google Summer of Code, ambayo ni programu ya kiangazi kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.

Tor project hushiriki katika Google Season of Docs, ambayo ni programu kwa waandishi wa lugha mbalimbali za kompyuta.

relayy ya kwanza katika Tor circuit, isipokuwa kutumia bridge.Wakati wa kutumia bridge, Bridge huchukua nafasi ya guard.

Thamani ya cryptographic hash ni matokeo ya mahesabu ya algorithm ambayo hupanga data kwa mfuatano mdogo usiobadilika. Imetengenezwa katika njia moja ya utendaji ikimaanisha kuwa thamani ni rahisi kukokotoa katika uelekeo mmoja lakini haiwezekani kugeuza. Hash value huhifadhili ili kuthibitisha uwezo wa data.

Historia ya kivinjari ni rekodi ya maombi yaliyofanywa wakati wa kutumia web browser, na inajumuisha habari kama tovuti zilizotembelewa na wakati ulipotembelea. Tor Browser hufuta historia yako ya kuvinjari baada ya kufunga session yako.

Kwa masharti Tor, "hop" hurejelea traffic zinazotembea kati relays katika circuit.

Hypertext Transfer Protocol (HTTP) ni channel inayotumika kutuma mafaila na data kati ya kifaa katika mtandao. Kiasili hutumika kusafirisha kurasa za tovuti pekee, sasa inategemewa kutoa aina nyingi za data na mawasiliano.

Hypertext Transfer Protocol Secure ni toleo la encrypted la usafirishwa wa data ya HTTP inayotumika kusafirisha mafaili na data kati ya vifaa katika mtandao.

HTTPS Everywhere ni Firefox, Chrome, and Opera extension ambayo huifanya HTTPS kuwa chaguo msingi kwenye tovuti ambayo inapanga HTTPS lakini hawajaifanya kuwa chaguo la msingi. HTTPS Everywhere husanikishwa katika Tor Browser kwenye Android.

Tangu Tor Browser 11.5, HTTP-hali pekee iliyowezeshwa na chagu msingi katika kompyuta ya mezani, na HTTPS Everywhere haijaunganishwa tena na Tor Browser.

Jina la zamani la "onion services", mara nyingine hutumika katika Tor kutunza kumbukumbu au mawasiliano.

JavaScript ni lugha ya kutengenezea programu ambayo tovuti hutoa vipengele vinavyo wasiliana kama vile video, animation, sauti, na hali ya kipindi. Kwa bahati mbaya, JavaScript pia huwezesha mshambuliaji katika usalama wa web browser, ambayo hupelekea taarifa za mtumiaji kutambulika. NoScript extension katika Tor Browser huweza kutumika kusimamia JavaScript katika tovuti mbalimbali.

Kipindi inamaanisha mazungumzo kati ya vifaa viwili vinavyowasiliana katika mtandao. Kwa kutumia Tor Browser ikimaanisha kipindi cha data yako itafutwa ukiwa karibu na web browser.

Kutanguliza kikoa ni mbinu ya udhibiti ambayo hufunika tovuti unayotaka kujiunganisha nayo. Kwa mtazamo wa udhibiti, inaonekama kama umeunganishwa katika huduma kuu ambayo itakuwa gharama kwa kidhibiti kuzuia, kama Microsoft au Google. Hata hivyo, haiwezi kufanya kutokujulikana, au kukamilisha kuficha unakoenda kama Tor Browser inavyofanya. kwa taarifa zaidi angalia hii blogpost about domain fronting.

Spelling notes:

Hakuna haja ya kuweka herufi kubwa.

Translation notes:

Unaweza kutafsiri neno hili kama litasikika vyema katika lugha yako.

Kama relay za kawaida za Tor relays bridges pia huendeshwa na wanaojitolea; lakini tofauti na relay za kawaida, hazitangazwi kwa umma, hivyo adui hawezi kuzitambua kwa urahisi. pluggable transports ni aina ya bridges ambazo zinasaidia kuficha ukweli kuwa unatumia Tor.

relay maalum ya kusimamia orodha ya bridges.

Ufupisho wa alama nne ambao unaweza kutumika kutambua anwani sahihi ya bridge kwa mtazamo mmoja.

Bridge-mojis ni vitambulisho vya bridge vinavyoweza kusomeka na binadamu na hufanyasiyohuwakilisha ubora wa mawasiliano katika mtandao wa Tor au hali ya bridge.

Mfululizo wa alama haziwezi kutumika kama mahitaji. Watumiaji wanahitaji kutoa anwani ya bridge iliyokamilika ili waweze kuunganishwa na bridge.

Kivinjari cha Wavuti (kinachojulikana kama kivinjari) ni programu ya kompyuta inayotumiwa kupata, kuonyesha, na kuvinjari vyanzo vya habari kwenye Mtandao wa Dunia. tovuti kuu inajumuisha firefox, chrome, internet explore, na safari.

Fingerprinting ni mchakato wa kukusanya habari kuhusu kifaa au huduma ili kufanya makadirio yenye elimu kuhusu utambulisho au sifa zake. Tabia au majibu ya kipekee yanaweza kutumiwa kutambua kifaa au huduma iliyochambuliwa. Tor Browser inalinda fingerprint.

Tovuti nyingi hutumia huduma nyingi za mifumo isiyohusika moja kwa moja, ikiwemo vifuatiliaji vya matangazo na uchambuzi, ambazo hukusanya data kuhusu IP address yako, web browser, system na tabia za kivinjari chako pekee, ambazo zote huunganisha shughuli zako kupitia tovuti mbalimbali. Tor Browser huzuia shughuli hizi nyingi zinazotokea.

"Tor log" ni orodha iliyoanzishwa moja kwa moja ya shughuli za Tor ambayo inaweza kusaidia kutambua matatizo. Ikiwa kitu kimeenda vibaya katika Tor, unaweza kuona chaguo na ujumbe makosa kwa "copy Tor log to clipboard". Unapaswa kuona chaguo la nakiri kumbukumbu zako kwenye ubao wa nakiri, ambao unaweza kunakilisha katika nyaraka ili kuonesha ambaye amekusaidi katika kupata suluhu.

kama huoni chaguo na unayo Tor Browser fungua, unaweza kuperuzi kwa menyu iliojificha ("≡", halafu bofya "setting", mwishowe "connection" kwa sehemu ya pembeni. Chini katika kurasa, pembeni ya maandishi ya "View the Tor logs", bofya kitufe cha "View Logs...".

Kitendo cha kuchukua sehemu ya data na kuichakata katika msimbo wa siri ambao unaweza kusomwa na mtumiaji aliyekusudiwa Tor hutumia matabaka matatu ya usimbaji katika Tor circuit; kila relay husimba tabaka moja kwa haijapitisha ombi la relay ingine.

relay ya mwisho katika Tor circuit ambayo hutuma traffic nje katika mtandao wa wazi. Huduma unayounganisha katika(tovuti, huduma ya mawasiliano ya ujumbe mfupi, watoa huduma za barua pepe, nk.) wataona IP address ya kutoka.

"little-t tor" ni njia mojawapo ya kurejea kwa tor katika mtandao wa daemon, unaoendana kinyume na Tor Browser au Tor project.

Kipengele kinachotumika kutoa maudhui yanayobadilika/ingiliana kupitia tovuti.

Ili kubaini uwezo wa uhamishaji wa habari wa relay, relay maalum zinazoitwa mamlaka ya upana wa njia hufanya vipimo mara kwa mara kwa relays kwenyeconsensus.

Dhumuni maalum relay hudumisha orodha uendeshaji wa muda huu wa relay na huchapisha mara kwa mara consensus kwa pamoja na directory authorities nyingine.

Data zilizosambazwa ambazo zimesimbwa moja kwa moja kutoka sehemu halisia hadi mwisho huitwa mawasiliano yaliyosimbwa moja kwa moja. Hii husaidia kuhakikisha data au ujumbe uliotumwa ni wa kusomwa pekee katika upande wa kupokea na kutuma.

Hizi pluggable transports zote hufanya uonekana unavinjari tovuti kuu badala ya kutumia Tor. Meek-azure inafanya inonekane kama unatumia tovuti ya Microsoft.

Ni icon yenye mistari wa mlalo kawaida ipo kwenye kona ya kushoto juu au kona ya kulia juu ya kioo cha mbele. Kwa kubofya au kubonyeza kwenye icon, inaonesha menu iliyo na chaguo au kurasa za ziada.

Marejeo: https://en.wikipedia.org/wiki/Hamburger_button

hamburger-menu

Mfumo mkuu wa programu unaosimamia vyanzo vya vifaa na programu za kompyuta na hutoa huduma kuu kwa programu za kompyuta. Mifumo ya kompyuta ya mezani inayotumika zaidi ni Windows, macOS na Linux. Android na iOS ni mifumo mikuu ya uendeshaji wa simu.

Sehemu ya kati katika Tor circuit. Relay zisizo za kutoka zinawez kufanya kazi kama "middle" a "guard" kwa watumiaji mbalimbali.

Moat ni kifaa shirikishi unaweza kukitumia kupata bridges kutoka ndani ya Tor Browser. Hutumia domain fronting kukusaidia kukwepa udhibiti. Moat pia hutumia Captcha ili kuzuia udhibiti wa haraka kutoka bridge zote zilizozuiwa.

Click here, kusoma zaidia juu ya kutumia moat katika muongozo wa kutumia Tor Browser.

Mto huduma za mtandao (ISP) ni shirika linalotaoa huduma ya kufikia na kutumia mtandao. Wakati unatumia Tor Browser, mtoa huduma wako wa mtandao (ISP) haoni ni mtandao gani unatembelea.

Katika Tor, mtumiaji ni node kwenye mtandao wa Tor, kawaida huutumia kwa niaba ya mtumiaji mmoja, ambapo njia huunganisha programu tumizi na mfululizo wa relays.

Chaguo hili ni muhimu ikiwa exit unayoitumia haiwezi kujiunganisha katika tovuti unayoihitaji, au haipakii vizuri, Kuichagua itasababisha kurasa inayotumika au window kupakiwa upya kwa Tor circuit mpya. Kurasa zingine zilizofunguliwa na windows kutoka katika tovuti ile ile itatumia circuit mpya vile vile mara tu zinapopakiwa upya. Chaguo hili halifuti taarifa zozote binafsi au inayotengenisha shughuli yako, wala haiathiri miunganisho yako ya sasa kwa tovuti zingine.

Tor Browser includes an add-on called NoScript, accessed by clicking the hamburger menu ("≡") at the top-right of the screen, then navigating to "Add-ons and themes". NoScript hukuruhusu kuisimamia JavaScript inayojiendesha katika kurasa binafsi ya tovuti, au kuzuia kabisa.

Kifuatiliaji cha kutokutambulisha relay (formerly arm, now nyx) ni kichunguzi cha hali ya mwisho Tor, iliyokusudiwa kwa matumizi ya command-line. Hichi ni kifaa cha usimamizi mchakato wa Tor katika mfumo, mara nyingi ni muhimu kwa waendeshaji wa relay.

Obfs3 ni pluggable transport inayounda Tor traffic kwa kuangalia kwa mpangilio unaotofautiana, ili isionekana kama Tor au mpangilio wowote ule. Obfs3 haitumiki tena.

Obfs4 ni pluggable transport inayounda Tor traffic kwa kuangalia mpangilio unaotofautiana kama obfs3 na pia huzuia udhibiti wa kutafuta bridges kwa uchanganuzi wa mtandao. Obfs4 inauwezekano mdogo wa kuzuia zaidi ya obfs3 bridges.

Jina la sanifu la kikoa cha mtandao hutumiwa na onion services ambayo huishia katika .onion imeundwa iwe self-authenticating.

Translation notes:

Can be partially or totally translated, i.e. for Spanish 'dirección cebolla' or 'dirección onion'. But be careful when translating, because the actual onion addresses finish with .onion, in English.

Programu ya iOS ambayo ni vyanzo huru, hutumia uelekezaji wa Tor, na imeundwa na mtu fulani ambaye anafanya kazi karibu na Tor Project. Jifunze zaidi kuhusu Onion Kivinjari

Translation notes:

Jina la mradi. usizitafsiri "Onion", hata hivyo unaweza kutafsiri "Browser". Ex: Navegador Onion.

onion service pekee ni onion service inaweza kusanidiwa kwa huduma ambazo hazihitaji kutokujulikana, lakini inahitaji kutoa huduma za mawasiliano kwa watumiaji. onion services pekee hutumia njia tatu pekee za circuitbadala ya njia sita za kawaida za onion services.

Onion services (zamani zilikuwa zinajulikana kama “hidden services”) ni huduma (kama za tovuti) ambazo zinapatikana kupitia Tor network. Onion services hutoa faida na huduma za kawaida katika tovuti isiyo binafsi, ikiwemo: Kuficha eneo, uthibitisho wa moja kwa moja, kusimba moja kwa moja, na NAT punching.

Onionoo ni mpangilio wa tovuti ili kujifunza juu ya kutumia Tor relays na bridges kwa muda huu. Onionoo hutoa data ya maombi mengine na tovuti (metrics.torproject.org) ambayo hurejesha hali ya taarifa za sasa ya mtandao wa Tor kwa watu.

Mpangilio unaopatikana onion services. Kwa mfano, unaweza kusema "tovuti yangu ipo katika onionspace" badala ya "tovuti yangu ipo katika Dark Web."

OONI inawakilisha "Open Observatory of Network Interference", ni mtandao wa uchunguzi wa kimataifa kwa ajili ya kugundua udhibiti, ufuatiliaji na traffic na uendeshaji wa mtandao.

Orbot ni huru app kutoka miradi ya Guardian ambayo huwezesha programu zingine katika kifaa chako kutumia mtandao kwa usalama zaidi. Mtumiaji wa Orbot Tor to encrypt mtandao wako traffic na uifiche kwa kuruka kupitiaa mfuatano wa kompyuta duniani kote.

Orfox haitunzwi tena wala kutumiwa.

vifaa ambavyo Torinaweza kutumia kuficha trafficinatuma nje. hii inaweza kuwa na manufaa katika hali ambapo internet service provider (ISP)au mamlaka nyingine inazuia kwa makusudi mtandao wa tor.

Programu zinazolinda usalama wa mtandao ambazo zinasimamia na kudhibiti mtandao unaoingia na kutoka traffic. Uchujaji wa usafirishwaji huu wa data huzingatia sheria zilizoweka. Programu zinazolinda huanzia ukingo kati ya mtandao unaoaminika na salama wa ndani na mitandao mingine ya nje lakini inaweza pia kutumia kuchuja maudhui kwa namna ya udhibiti. Mara nyingine watu huwa na matatizo ya kujiunganisha katika Tor kwa sababu programu zinazulinda zinazuia muunganisho wa Tor. Unaweza rekebisha au kuondoa uwezo wa programu yako inayolinda na kuanzisha tena Tor ili kupima hili.

proxy ni mwakilishi kati ya client(like a web browser) na huduma ((kama web server. Badala ya kuunganisha moja kwa moja na huduma, mtumiaji huituma ujumbe kwa proxy. na proxy hufanya ombi kwa niaba ya mtumiaji na kurudisha majibu kwa mtumiaji. Huduma inawasiliana moja kwa moja.

Quickstart huunganisha Tor Browser katika mtandao wa Tor kiotomatiki pale tu inapozinduliwa, ikitegemea mpangilio wa muunganisho uliotumika awali.

node zilizo orodheshwa hadharani katika Tor network inayopeleka mbele data inayosafirishwa kwa niaba ya mtumiaji, na hujisajili yenyewe ikiwa na directory authorities.

Sahihi ya picha inathibitisha uhalisia wa ujumbe au faili. Huundwa na mmiliki wa sehemu binafsi wa funguo pacha public key cryptography na huthibitishwa na funguo za umma. Ikiwa utapakua programu kutoka torproject.org, utapata sahihi ya mafaili (.asc). Hizi ni sahihi za PGP hivyo basi unaweza kuthibitisha kuwa faili hilo ulilopakua ni sahihi ambalo ulidhamiria kulipata. Kwa taarifa zaidi, angalia how you can verify signatures.

Njia ya kupitia Tor network hutengeneza na clients ikikusanya node zilizochaguliwa bila mpangilio. circuit huanza na bridge au guard. circuit nyingi imekusanya node tatu - a guard au bridge, middle relay, na exit. Huduma nyingi za onion services ambazo hutumia idadi ya njia za circuit (isiyokuwa na single onion services), na haina exit node. Unaweza kutizamana Tor circuit yako ya sasa kwa kubonyeza kwenye [i] katika sehemu ya kuandikia URL.

Ni add-on katika kivinjari cha Chrome au Chromium ambayo inakuruhusu kupakua programu mbalimbali kwa usalama na faragha, ikiwemo Tor Browser, kutoka vyanzo mbalimbali.

ScrambleSuit ni sawa katika obfs4 pluggable transport lakini ina mpangilio tofauti wa bridges.

Kifaa katika mtandao kinachotoa huduma, kama vile faili na hifadhi ya kurasa ya tovuti, barua pepe au mawasilino.

Shambulizi la Sybil katika usalama wa kompyuta ni shambulio ambapo mfumo wa sifa hupotoshwa kwa kuunda idadi kubwa ya vitambulisho, na kuwatumia kupata ushawishi mkubwa usio na uwiano katika mtandao.

Snowflake ni pluggable transport ambayo husaidia kukwepa udhibiti na upatikana mtandao huru na wa bure. Vipengele hivi vitatu; Mtumijai wa Snowflake, proxy ya Snowflake (zote mbili kwa pamoja kama makundi ya Snowflake) na wakala. Snowflake huweza kuruhusu kurasa kivinjari iliyofunguka kujifanya kama Tor bridge ya muda mfupi. Ili uweze kuzuia proxy iliyozuiliwa anwani ya IP, Snowflake inahusisha namba kubwa ya proxies zinazojitolea, ambayo pia inawafanya kuwa ngumu kuibainisha.

SOCKS5 ni mpangilio wa mtandao unaotumiwa na Tor. Inatuma data inayosafirishwa kupitia mtandao wa Tor badala ya kutuma kutoka anwani yako ya IP katika mtandao wa wazi. Ni dhumuni la kawaida proxyy ambalo hukaa tabaka la toleo 5 la OSI model na hutumia njia ya kuruhusu mzunguko wa data kwa usalama. Programu unayoitumia na SOCKS5 itakuwa ikitambua njia ya kuruhusu data kwa usalama, lakini unaweza kuzuia uwiano wa utambulisho ikiwa imepangiliwa vizuri.

Spelling notes:

Zote katika herufi kubwa, kama ilivyo kwenye kifupisho.

Stem ni maktaba ya kudhibiti Python (lugha ya programu) katika msingi wa Tor. Ikiwa unataka kuisimamia msingi wa Tor na python, hii ni yako.

Secure sockets layer (SSL) ni utaratibu wa kawaida wa usalama wa mtandao unaotumika kulinda mawasiliano ya mtandao na kulinda data nyeti zinazosambazwa kati ya mifumo miwili. SSL husimba data ambazo husafirishwa, na kuzuia mtu asiyehusika moja kwa moja katika kufikia data ambazo zimetumwa.

Tails inaishi mfumo wa undeshaji ambayo unaweza kuanza kwa kila kompyuta kwa ujumla kutoka DVD,USB stick, au kadi ya SD. nia yake ni kulinda faragha na kutojulikana. jifunze zaidi kuhusu Tails.

The Guardian Project ni kundi la watengeneza programu, wanaharakati na wabunifu ambao vitu rahisi kutumia, salama, vyanzo huru vya programu tumizi na uboreshaji wa mfumo wa uendeshaji. The Orbot app hutolewa na Guardian Project husaidia kutengeneza njia za programu tumizi zingine katika kifaa chako cha Android na mtandao wa Tor.

Tor ni programu unayoweza kuendesha katika kompyuta yako ambayo inakusaidia kuwa salama katika mtandao. Inakulinda kwa kuruka mawasiliano yako kuzunguka mitandao iliyotawanywa relays ambayo huendeshwa watu wakujitolea dunia kote: Inamzuia mtu anayeangalia mawasiliano yako kwa kusoma mtandao upi umetembelea, na inalinda mtandao uliotembelea kwa kusomwa eneo ulipo. Huu ni mpangilio wa relay za kujitolea unaitwa mtandao wa Tor. Mara nyingine programu inayohusiana na mtandao huu huitwa Core Tor, na muda mwingine "little-t tor". Njia kuu watu wanayotumia Tor na Tor Browser ni ile ambayo toleo la Firefox ambayo hubeba masuala mengi ya faragha.

Tor Browser hutumia Tor network kulinda faragha na kutokujulikana kwako. kaziyako ya mtandao, inayohusisha majina na anwani ya tovuti utakayotembelea, itafichwa kwenye internet Service Provider (ISP) na yeyote anaeangalia uunganisho wako kwa undani. Waendeshaji wa tovuti na huduma unaotumia, na yeyote unayemuangalia, wataona mawasiliano yanakuja kutoka mtandao wa Tor badala ya (IP) address yako halisi, na hawawezi kujua wewe ni nani isipokuwa utajitambulisha waziwazi. Kwa nyongeza, Tor Browser imeundwa kuzuia tovuti “fingerprinting” au utambuzi unaohusiana na usanidi wa browser. Moja kwa moja, Tor Browser haihifadhi browsing history. Vidakuzini halali kwa kipindi kimoja tu kipindi (mpaka Tor Browser kitakapofungwa au New Identity itaombwa.

Spelling notes:

Tor Browser. muda mwingineinatajwa kama tbb. na sio TOR Browser.

Translation notes:

Usitafsiri Tor, hata hivyo unaweza kutafsiri "Browser". Mfano kwa Kihispania: Navegador Tor (Badilisha mpangilio kwa sababu ni kawaida zaidi kama hiyo kwa Kihispania.) Baadhi ya lugha kama vile Kiarabu transliterate neno Tor, Ni hivi تور . Huandika Tor kwa herufi nyingine.

ukiendesha Tor Browser Tor Browser kwa mara ya kwanza, angalia Tor Launcher window. Inakupa chaguo la kuunganisha moja kwa moja katika Tor network, au kusanidi Tor Browser katika mawasiliano yako. Kwa jambo la pili, Tor Launcher itakupeleka kupitia chaguzi za safu za usanidi.

Tor launcher haina muda mrefu haitumiki kwenye Tor Browser tangu 10.5 kutolewa.

Translation notes:

usitafsiri.

Tor Messenger lilikuwa jukwaa la mawasiliano ya ujumbe ambalo lililenga kuwa salama kwa watumiaji na kutuma data inayosafirishwa na Tor. Tor Messenger haifanyiwi maboresho zaidi. Inaziunga mkono Jabber (XMPP), IRC, Google Talk, Facebook Chat, Twitter, Yahoo, na zinginezo; huwezesha Ujumbe usio na Rekodi (OTR) kiotomatiki; na inarahisisha matumizi kati ya programu zilizo katika uso wa mbele wa kompyuta zilizosanidiwa kwa wingi.

Tor Metrics (.onion) huhifadhi data ya kihistoria kuhusu mfumo wa utendaji kazi Tor, hukusanya data kutoka mtandao wa umma wa Tor na shughuli zinazohusiana, na husaidia katika kutengeneza mbinu mpya za usalama, kuhifadhi faragha za ukusanyaji wa data.

Tor Project labda inaweza kurejea Tor Project Inc, a 501(c)3 US isiyo ya faida inayohusika katika usimamizi wa programu za Tor, au jumuiya ya Tor Project imeundwa na maelfu ya watu wanaojitolea ulimwenguni mwote ambao husaidia kutengeneza Tor.

Tor2web ni mradi wa kuwafanya watumiaji kufikia onion services bila ya kutumia Tor Browser. KUMBUKA: Hii sio salama kwa kuunganisha kwenye onion services via Tor Browser,, na itaondoa Tor zote zinazohusiana na ulinzi wa mtumiaji ingekuwa vinginevyo.

hii extensioninasanidi thunderbird kufanya uunganisho ndani ya Tor.

ndani ya Tor kusanidi faili.

Torsocks inakuruhusu utumie programu nyingi kwa njia ilio salama zaidi na Tor. Inahakikisha maombi ya DNS yanashughulikiwa kwa usalama na kukataliwa waziwazi usafirishaji wa data yoyote trafficisipokuwa TCP kutoka kwenye programu unayotumia.

nakala y tovuti ni ya moja kwa moja na nakala ya tovuti ambayo unaweza kupata ndani ya anwani nyingine. orodha ya sasa ya torproject.org inapatikana katika https://www.torproject/getinvolved/mirrors.html.en.

Onion site ni tovuti ambayo inapatikana kupitia Tor pekee. ingawa inafanana kwa maana ya onion service, lakini, onion site inahusu tovuti pekee. Tovuti hizi tumia .onion kikoa cha kiwango cha juu (TLD).

TPI ni kifupi cha The Tor Project, inc.

Watu kwenye IRC mara nyingi hutumia tpo kufupisha torproject.org wanapoandika majina ya wasimamizi. Kwa mfano,blog.tpo ni kifupi cha blog.torproject.org.

Mara nyingine kufikia moja kwa moja kwenye Tor network huzuiwa na Mtoa huduma za mtandao (ISP) au na serikali. Tor Browser hujumuisha baadhi ya vifaa vya udhibiti kwa kuzunguka vizuizi hivi, ikijumuisha bridges, pluggable transports, na GetTor.

usafirishaji wa data ni data inayotumwa na kupokelewa na mtumiaji na seva.

New Identity ni kipengele cha Tor Browser ikiwa unataka kuzuia shughuli zako za Browser zilizofuata kutokana na kuunganishwa na ulichokuwa ukifanya hapo awali. Kuichagua itapekea kufunga kwa kurasa zote zilizofunguliwa na windows, futa taarifa zote za siri kama vile cookies na browsing history, na mtumiaji mpya Tor circuits kwa muunganisho wote. Tor Browser itakuonya ambazo shughuli zote za kupakua zitasimama, kwa hivyo zingatia hii kabla ya kubofya "New Identity" (inayofikiwa kupitia icon ndogo ya inayoonekana kama fagio inayong'aa kwenye sehemu ya juu ya kioo cha mbele). New Identity pia huweza kusaidia ikiwa Tor Browser ikiwa na matatizo katika kuunganisha tovuti maalum, vile vile katika "New Tor Circuit for this Site".