add-on, extension, or plugin / add-on, extension, or plugin
Viongezeo, nyongeza na programu ndogo ni sehemu ambazo zinaweza kuongezwa kwenyeweb browser ili kuwapa vipengele vipya. Tor Browser inakuja na kifurushi kimoja kilichosakinishwa: NoScript. Hutakiwi kusakinisha add-ons yoyote ya ziada kwenye Tor Browser kwa sababu inaweza kudhoofisha baadhi ya vipengele vyake vya faragha.